Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Waziri Mkuu wa Burundi
JamhuriComments Off on Makamu wa Rais Dkt. Mpango akutana na Waziri Mkuu wa Burundi
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Burundi Mheshimiwa Gervais Ndirakobuca mara baada ya mazungumzo yao yaliofanyika kando ya Mkutano wa 11 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano kwaajili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Ukanda wa Maziwa Makuu uliofanyika Ikulu ya Bujumbura nchini Burundi.