Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Philip Mpango akiwasili katika eneo la Wasso – Loliondo Wilaya ya Ngorongoro
mkoani Arusha kwaajili ya ziara ya kikazi katika Wilaya ya Ngorongoro leo
tarehe 17 Mei 2023.