Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 14, 2023
Siasa
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar atembelea mali za chama
Jamhuri
Comments Off
on Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar atembelea mali za chama
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wa CCM mbalimbali wakati alipowasili katika jengo la CCM Amani Mkoa akiwa katika ziara yake ya kutembelea Mali za Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa), (wa pili kushoto)alipokuwa akionesha kitu wakati alipotembelea mali za Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Afisi ya CCM Amani Mkoa katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (kushoto) Mwenytekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Ndg,Talib Ali Talib na (kulia) Mkuu wa Mkoa wa Mjini magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.[Picha na Ikulu] 14/05/2023
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzipbar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa,alipotembelea Sheli ya Mafuta Amani akiwa katika ziara yake ya kutembelea Mali za Chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Mjini Kichama leo (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 14/05/2023.
Makamo Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) akiangalia maduka yanayouza bidhaa mbali mbali pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Mhe.Dkt Mohamed Said Mohamed (Dimwa), (kushoto) wakati alipotembelea Mali za Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Afisi ya CCM Amani Mkoa katika Wilaya ya Mjini Kichama leo.[Picha na Ikulu] 14/05/2023
Post Views:
801
Previous Post
Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa marehemu Bernard Membe Karimjee jijini Dar es Salaam
Next Post
Serikali yafanya mapinduzi makubwa sekta ya afya
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Habari mpya
Matapeli kimataifa wanaswa Tanzania
Tunampamia Mbowe, tunamsahau Nyerere
Kristo alizaliwa Afrika Mashariki?
Tusherehekee Krismas na mwaka mpya tukijivunia mabadiliko makubwa sekta ya nishati
INEC yaboresha Daftari la Kudumu Mpiga Kura
Meja Jenerali Martin Busungu afariki dunia
Polisi wajipanga kuimarisha ulinzi na usalama msimu wa sikukuu ya Krismas na Mwaka mpya
CCM Tabora wamfariji mjane wa kada aliyejiua
Chombo cha anga za juu cha NASA chajaribu kuweka historia kwa kuwa karibu zaidi na jua
NEMC yaonya kelele, uchafuzi wa mazingira wakati wa sikukuu
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton alazwa hospitalini
Israel yakiri kumuua Ismail Haniyeh
Mwinyi: SMZ itaendelea kuleta mageuzi katika Mahakama
Benki ya Dunia, SADC zampa tano Rais Samia
Kuelekea msimu wa sikukuu wazazi, walezi watakiwa kuwajibika kwenye malezi ya watoto