Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , Oktoba 8, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Elisha Gaguti.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) , Oktoba 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Biharamulo wakimsikiliza Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Oktoba 8, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views: 190