Majaliwa ashiriki uchaguzi wa viongozi wa CCM Ruangwa
JamhuriComments Off on Majaliwa ashiriki uchaguzi wa viongozi wa CCM Ruangwa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa Ruangwa akiweka kura yake kwenye sanduku la kura katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Ruangwa wa kuchagua viongoziwa CCM wa wilaya hiyo uliofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Awali na Msingi Wonder kids, Ruangwa Oktoba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu wa CCM wa wilaya ya Ruangwa wa kuchagua viongozi wa CCM wa wilaya hiyo wakimsikiliza Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa wakatika alipozungumza kwenye ukumbi wa Shule ya Awali na Msingi, Wonder Kids iliyopo Ruangwa, Oktoba 2, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)