Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu  Qatar, Ahmed Al-Than baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Agosti 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya jezi ya timu ya taifa ya Qatar kutoka kwa  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu  Qatar, Ahmed Al-Than baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Agosti 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya nembo timu ya taifa ya mpira wa miguu   Qatar kutoka kwa  Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu  Qatar, Ahmed Al-Than baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa 44 wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Agosti 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)