JamhuriComments Off on Majaliwa akutana na mkurugenzi mkuu wa CDC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi zawadi ya picha ya wanyama Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Nchini Marekani (CDC) Dkt. Rochelle Walensky, alipokutana nae Ofisini Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es Salaam, leo Julai 27, 2022.(Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)