Majaliwa akagua ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Mwanza-Isaka
JamhuriComments Off on Majaliwa akagua ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha Mwanza-Isaka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wananchi na viongozi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama picha mbalimbali zinazoonyesha miundombinu itakayojengwa katika kiapnde cha reli ya kisasa (SGR) cha Mwanza – Isaka wakati alipokagua maendeleo ya Ujenzi wa reli hiyo katika Stesheni ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kipande cha reli cha majaribio wakati alipokagua maendeleo ya Ujenzi wa kipinde cha Isaka – Mwanza cha Reli ya Kisasa (SGR) katika Steshini ya Fela mkoani Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. Wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Amina Lumuli. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)