Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
August 3, 2022
MCHANGANYIKO
Majaliwa afungua kongamano la nne la Kimataifa la Nishati Tanzania
Jamhuri
Comments Off
on Majaliwa afungua kongamano la nne la Kimataifa la Nishati Tanzania
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kongamano hilo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agost 3, 2022. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati, January Makamba katika Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania alilolifungua kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agost 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama chombo kinachoonyesha ramani ya kiwanda cha kuchakata gesi asilia kinachotarajiwa kujengwa mkoani Lindi wakati alipotembelea banda la makampuni ya Shell na Equinor baada ya kufungua Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agost 3, 2022. Kulia ni Makamu wa Rais na Meneja wa Kampuni ya Uquinor nchini, Unni Merethe Fjaer na katikati ni Makamu wa Rais na Mwenyekiti wa Kampuni ya Shell nchini, Jared Kuehi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Nne la Kimataifa la Nishati Tanzania kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere mkoani Dar es salaam, Agost 3, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views:
233
Previous Post
Katibu Mkuu Chongolo akiwa Moshi Mjini
Next Post
Rais Mwinyi azindua muongozo wa mafunzo ya sayansi,kiingereza na hisabati
Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine
Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi
Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Habari mpya
Urusi yatungua ndege zisizo na rubani 22 za Ukraine
Ukraine: Trump anaweza kumaliza vita na Urusi
Polisi Songwe yakemea kuuza na kunywa pombe za kienyeji muda wa kazi
Zimbabwe yafuta adhabu ya kifo
Mashambulizi ya Israel yawaua watu 26 wakiwemo Polisi Gaza
Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Kwa heri 2024; Kiswahili kimezidi kutandawaa – 2
LATRA yakamata magari 20 kwa kutoza abiria nauli kubwa Tabora
Wawili wahukumiwa kifungo cha maisha jela, wanne miaka 30
Kaya 16, 275 kunufaika na majiko ya gesi ya ruzuku Mtwara
Madereva 30 wafungiwa leseni kwa kukutwa na kiwango kikubwa cha ulevi
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
Waziri Israel atishia kuzidisha mashambulizi Ukanda wa Gaza
MGORORO WA FAMILIA…Kaburi la Jenerali lafukuliwa
Rais Samia ameweza, sasa tunaingia mwaka wa fitina