JamhuriComments Off on Madaktari wa Kichina wakutana na Rais Mwinyi
Baadhi ya Madakatari wa kichina wakimpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani wakati alipokabidhiwa kitabu na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Zhang Zhisheng baada ya mazungumzo na Madaktari hao waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo, [Picha na Ikulu] 08/02/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akipokea kitabu kutoka kwa Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Zhang Zhisheng mara baada ya mazungumzo na Madaktari wa Kichina leo waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha .[Picha na Ikulu] 08/02/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na madaktari wa Kichina waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Zhang Zhisheng (wa pili kulia) [Picha na Ikulu] 08/02/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo, wakifuatana na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng (wa nne kushoto) Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Mnazi Mmoja Dk.Muhidin Abdi Mahamoud [Picha na Ikulu] 08/02/2023.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akibadilishana mawazo na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng mara baada ya mazungumzo na Madaktari wa Kichina waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha leo,(kushoto) Mkurugenzi Idara ya Tiba Dk.Msafiri L.Marijani na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui. [Picha na Ikulu] 08/02/2023.