Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Balozi wa Tanzania Uingereza Dkt. Asha-Rose Migiro na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu akiwa na mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.
Mabondia Kassim Selemani Mbundwike (kushoto) na Yusuf Lucasi Changalawe wakiwa na wasaidizi maalumu waliopangiwa kuwa na Timu ya Tanzania siku ya Jumapili Agosti 7, 2022 baada ya kupokea medali zao za Shaba walizoshinda kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola jijini Birmingham, Uingereza.