Maandamano ya wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
JamhuriComments Off on Maandamano ya wanawake kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Maandamano ya Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali za umma na binafsi yakipita mbele ya Jukwaa kuu kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 08 Machi