Dakika ya 2: URA wanapata kona ya kwanza
Dakika ya 10: URA wanapata faulo karibu kabisa na lango la Yanga
Dakika ya 15: matokeo bado 0-0, lakini mpira ni mkali sana kila mashambulizi zamu kwa zamu
Dakika ya 20: matokeo bado 0-0
Dakika ya 25: Kona ya pili URA wanapata
Dakika 28: Tshimbi anafanyiwa rafu na mpira unakuwa faulo kuelekezwa langoni mwa URA
Dakika ya 35: matokeo bado 0-0
Dakika ya 36: Ajibu anapiga faulo unagonga ukuta wa URA
Dakika ya 40: matokeo bado 0-0
Dakika ya 44: Yanga wanapata faulo karibu kabisa na lango la URA, Ajibu anapiga mpira unatoka nje ya lango la URA
Dakika ya 46: Kipindi cha pili kinaanza matokeo bado 0-0
Dakika ya 55: Yanga wanafanya mabadiliko Chirwa anaingia anatoka Buswita
Dakika ya 66: URA wanapata kona na mpira unaokolewa na mabeki wa Yanga
Dakika ya 80: Matokeo bado 0-0, mpira ni mkali sana mpenzi mfuatiliaji
Dakika ya 82: Mpira umepenya kwenye nyavu unaingi golini lakini si goli mpezi mtizamaji huwezi amini kilichotokea nyavu zimetoboka na kusababisha utata mkubwa mpaka wachezaji wa URA wamepewa kadi za njano
Dakika ya 85: Yanga wanafanya Mabadiliko Gadiel Michael anatoka nafasi yake inachukuliwa na Emanuel Martini
Dakika ya 90: Matokeo bado 0-0
Dakika 2 zimeongezwa: matokeo bado 0-0
Full time Matokeo 0-0
########################################
MIKWAJU YA PENATI SASA ILI KUMPATA MSHINDI
YANGA ———————————————– URA
YANGA 1 URA 1
YANGA 1 URA 1
YANGA 1 URA 1
YANGA 1 URA 1
YANGA X URA 1
URA yatinga fainali