Dakika ya 8: Mabao 0 -0
Dakika ya 12: Yanga wanapata kona
Dakika ya 15: Milango bado migumu Yanga 0- St Lous 0
Dakika ya 16: Buswita anapiga shuti linatoka nje ya lango
Dakika ya 20: Penaaaaaati, Yanga wanapata penati, Hasani Kessy anaangushwa ndani ya 18
Dakika ya 22: Chirwa anakosa penati, anapiga mpira unatoka nje
Dakika ya 24: Faulo kuelekea upande wa St. Lousi
Dakika 24: Ajib anapiga faulo unatoka njee ya lango
Dakika ya 29: Mabao bado 0-0
Dakika ya 33: Yanga wanakosa goli la wazi, ajibu anapaisha mpira njee ya lango
Dakika ya 38 : Yanga wanapata kona
Dakika ya 38 : Kona dot Yanga wanapata
Dakika ya 44: Mabao bado 0-0
Dakika ya 52: Yanga wanapata kona katika kipindi hiki cha pili
Dakika ya 56: mabao bado 0-0
Dakika ya 63: Ajibu anapaisha mpira nje ya lango la St. Lous
Dakika ya 69: Goooooo, yanga wanaandika goli la kwanza hapa mpenzi mfuatiliaji
Dakika ya 75: Yanga bado wanongoza kwa bao 1-0
Dakika ya 90: mpira umeisha Yanga wanaibuka na ushindi wa bao 1-0