Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, amekutana na kufanya Mazungumzo na, Prof. Stefan Dercon, Aliyekuwa Mchumi Mkuu wa DFID (UK Department for International Development) na Mshauri wa Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza alieambatana na Balozi Uingereza Nchini Tanzania Mhe. David Concar, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 19, 2023. (Picha zote na Fahadi Siraji,CCM Makao Makuu
Kinana ateta na aliyekuwa mchumi mkuu wa DFID
Jamhuri
Comments Off on Kinana ateta na aliyekuwa mchumi mkuu wa DFID