Mabingwa wa tetezi wa ligi kuu soka Tanzania Bara klabu ya Yanga hii leo inatarajia kushuka dimbani tayari kuivaa timu ya Mwadui FC katika mechi ya Vpl itakayo chezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.
Kuelekea katika mchezo huo Yanga SC imeanika wachezaji wake huku akiwemo mshambuliaji Amis Tambwe ambaye amekosekana katika kikosi cha timu hiyo kwa muda mrefu kutokana na kusumbuliwa na malaria.
- YUTHE ROSTAND
- HASSAN KESSY RAMADHAN
- HAJJI MWINYI MNGWALI
- ANDREW VICENT CHIKUPE
- KELVIN PATRICK YONDAN
- SAID JUMA MAKAPU
- JUMA MAHADHI
- PIUS BUSWITA
- AMISS TAMBWE
- IBRAHIM AJIB MIGOMBA
- EMMANUEL MARTIN
SUB
- RAMADHAN KABWILI
- JUMA ABDUL MNYAMAN
- GADIEL MICHAEL MBAGA
- YOHANA MKOMOLA
- RAFAEL DAUD
- PATO NGONYANI
- S MUSSA
KOCHA MKUU: GEORGE LWANDAMINA
KOCHA MSAIDIZI: SHEDRACK NSAJIGWA MWANDEMELE