aibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga leo Oktoba 12, 2024 ameungana na viongozi mbalimbali wa Serikali pamoja na wananchi kwenye mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Mwanza.
Rais Samia yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi.
Please follow and like us:
Pin Share