Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
September 2, 2022
Uchumi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya sheria yakabidhi hoja za mapendekezo
Jamhuri
Comments Off
on Kamati ya Kudumu ya Bunge ya sheria yakabidhi hoja za mapendekezo
Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo,Ramadhan Suleiman Ramadhan akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichokabidhi hoja za Mapendekezo ya kamati kwa Serikali (Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge na Uratibu) zilizowasilishwa katika Mkutano wa Saba wa Bunge ili ziweze kupatiwa majibu tukio lililofanyika katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 2 Septemba, 2022
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene (katikati) akizungumza mbele ya Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakati wa kupokea hoja za kamati hiyo zilizowasilishwa katika Mkutano wa Saba wa Bunge ili ziweze kupatiwa majibu tukio lililofanyika katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 2 Septemba, 2022, kushoto kwake ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. Ummy Nderiananga
Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo wakiwa katika kikao cha kukabidhi hoja za Mapendekezo ya kamati kwa Serikali (Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge na Uratibu) zilizowasilishwa katika Mkutano wa Saba wa Bunge ili ziweze kupatiwa majibu tukio lililofanyika katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 2 Septemba, 2022
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu; Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene akipokea taarifa ya Mapendekezo ya kamati zilizowasilishwa katika Mkutano wa Saba wa Bunge ili ziweze kupatiwa majibu kutoka kwa Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadhan tukio lililofanyika katika ofisi za Bunge Jijini Dodoma leo tarehe 2 Septemba, 2022
.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE
Post Views:
301
Previous Post
Kinana aanza ziara ya kikazi Kagera
Next Post
Sendiga: Watumishi tatueni kero za wananchi
Rais Samia :Tanzania imepiga hatua uboreshaji sekta ya afya nchini
‘Jeshi na M23 wakiuka sheria ya vita’
Trump atia saini agizo la kuiondoa Marekani WHO
Soma Gazeti la Jamhuri Januari 21- 27, 2025
Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
Habari mpya
Rais Samia :Tanzania imepiga hatua uboreshaji sekta ya afya nchini
‘Jeshi na M23 wakiuka sheria ya vita’
Trump atia saini agizo la kuiondoa Marekani WHO
Soma Gazeti la Jamhuri Januari 21- 27, 2025
Dk Mpango atoa wito kwa majaji, mahakimu wanawake kutofumbia macho vitendo vya ukatili
TEF yawapongeza Dk Samia, Dk Mwinyi, Dk Nchimbi
Mikoa sita kunufaika na msaada wa kisheria wa mama Samia
Polisi Pwani wamkamata aliyesambaza picha chafu za utupu akihusisha shule ya Baobab
Wamuua ndugu yao na kumfukia kwenye shimo nyumbani kwake
TikTok yarejesha huduma zake Marekani baada ya ahadi ya Trump
Jafo aagiza jengo la Metrolojia CBE likamilike kwa wakati
Trump aahidi kuwazuia wahamiaji kuingia Marekani
Uhusiano baina ya Tanzania, Czech kung’ara
Rais Samia, Mwinyi mitano tena
Simba njia nyeupe