Kocha wa Manchester United Jose Mourinho amesema kuwa anatakiwa apewe sifa kwa kumleta Chelsea mshambuliaji wa Misri mwenye umri wa 25 Mohamed Salah wakati alipokuwa mkufunzi wa Chelsea na sio kulaumiwa ya kumuuza mchezaji huyo katika klabu ya Roma 2016.
Mohamed Sarah kwa sasa ni mchezaji hatari katika Ligi kuu ya Uingereza akiwa na Majogoo wa Jiji la Liverpool, ambapo juzi alishinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu 2017/2018 wa Ligi kuu Uingereza akiwashinda Brunt pamoja na Harry Kane
Post Views: 240