Na Isri Mohamed

RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said ni miongoni kati ya wageni waalikwa kwenye Mkutano mkubwa wa vilabu Barani Ulaya (ECA).

Hersi ambaye pia ni Mwenyekiti wa vilabu Barani Afrika, atahudhuria mkutano huo unaofanyika katika mji wa Anthen, Ugiriki.

Injinia Hersi amepata Mwaliko huu kutoka kwa Mwenyekiti wa ECA ambaye pia ni Rais wa klabu ya PSG, Nasser Al-Khelaifi.

Please follow and like us:
Pin Share