Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
May 26, 2023
Habari Mpya
IGP Wambura aongoza kikao cha kupima utendaji
Jamhuri
Comments Off
on IGP Wambura aongoza kikao cha kupima utendaji
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura, Mei 25, 2023 aliongoza kikao cha 15 cha kupima utendaji kazi kilichohusisha Maofisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Polisi, Makamanda wa Polisi wa Vikosi na Vyuo Jijini Dodoma. Ambapo Katika kikao hicho wamejadili mafanikio yaliyopatikana, changamoto kwa kipindi kilichopita, muono mbele na kuweka mikakati ya kutekeleza majukumu ya Jeshi la Polisi kwa ufanisi zaidi katika kubaini,kuzuia na kutanzua uhalifu. Vikao vya aina hii hufanyika mara nne kwa mwaka.
Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.
Post Views:
413
Previous Post
Benki ya Maendeleo TIB yaunga mkono juhudi za uzalishaji umeme
Next Post
Idara za TAMISEMI, elimu, afya na sekta binafsi vinara malalamiko ya rushwa
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Habari mpya
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow