Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, Oktoba 5,2024 amewasili mkoani Kigoma na kufanya kikao kazi na kuwa na majadiliano ya ndani na Maofisa, Wakaguzi na Askari wa vyeo mbalimbali waliopo mkoani humo ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kikazi katika mikoa ya Kanda za Kipolisi. Picha na Jeshi la Polisi
Please follow and like us:
Pin Share