Na Bashir Yakub

(A) NAMBA YA KESI
Kesi ya Jinai Na. 22/1998, Mahakama Kuu Mwanza, mbele ya Jaji

(B) WASHTAKIWA
1. Kapteni Jumanne Rume Mwiru. Huyu ndiye alikuwa
akiendesha kutoka Bukoba kupitia Kemondo Bay hadi Mwanza.
2. Gilbert Mokiwa. Huyu alikuwa mkaguzi wa meli, na ndiye
kuikagua MV Bukoba.
3. Alphonce Sambo. Huyu alikuwa Ofisa wa Bandari ya Bukob
safari yeye na wenzake waliratibu safari.
4. Prosper Rugumila. Huyu alikuwa Ofisa wa Bandari ya
Bukoba ilipitia ikitokea Bandari ya Bukoba na kuongeza abiria na

(C) KOSA WALILOSHTAKIWA NALO
Kuua bila kukusudia kinyume cha Kifungu cha 195 cha Kanuni za
Sheria za Tanzania.

(D) MAELEZO YA KOSA
Kuwa, tarehe 21/5/1996 majira ya saa 7:30 asubuhi, eneo la Zi
washtakiwa kwa uzembe walisababisha meli ya MV Bukoba iliyo
kuelekea Mwanza kupinduka na kuzama, hivyo kusababisha vifo vy

(E) MASHAHIDI UPANDE WA MASHTAKA
Upande wa mashtaka ulileta mashahidi 32 wakiwemo:
1. Kapteni Cleophas Magoge. Huyu saa 2:15 asubuhi, aliitoa
Mwanza ilipokuwa inaendelea na matengenezo na kulazimika
kwenye eneo la ajali baada ya kuambiwa kuwa MV Bukoba imez

Anasema alipofika eneo la tukio aliiona MV Bukoba ikiwa kic
huku mizigo hasa ndizi, watu na miili mingi ikielea majini.
alimuona kapteni wa MV Bukoba – mshtakiwa wa kwanza aki
meli iliyozama.
2. Shahidi mwingine ni Kapteni Mannase Ephraim Kombo.
tukio alikuwa akiendesha MV Butiama kutoka Port Bell, Ugan
Anasema saa 12:00 asubuhi aliingia kwenye radio na kuwa
Mwanza kuwa atafika saa 3:00 asubuhi.
Anasema wakati akiwasiliana alisikia kapteni wa MV Bukoba n
atafika Mwanza saa 2:00 asubuhi. Anasema alifika Bandari
asubuhi akashusha mizigo, lakini MV Bukoba iliyosema kuf
haikuwa imefika.
Anasema baadaye alimsikia Mpangala aliyekuwa muongoza m
Bukoba kwenye radio bila majibu. Anasema Mpangala aliita
kutoka nje kutizama, na kwa mbali sana aliona kitu ambach
ndani na kuchukua hadubini (binocular) kutizama tena, n
akiongea kwa mshtuko kuwa MV Bukoba inazama.
Anasema mara moja aliamua kuiendesha MV Butiama kuelekea
alikuta mitumbwi kadhaa ya wavuvi ikiokoa watu, na aliona m
mizigo vikielea.
3. Shahidi mwingine ni meneja wa yadi ya meli Mwanza. Ana
kuzama, yaani Aprili, MV Bukoba ilikuwa na matatizo ya
yalithibitishwa na mashahidi wengine. Anasema mtaalamu kuto
waliotengeneza meli hiyo aliletwa kuchunguza tatizo hilo na ali
eneo liitwalo Karumo.
Mtaalamu aligundua matatizo ya kuyumba na akasema wa
7/1996, lakini meli ikazama mwezi 5/1996 miezi miwili kabla rip
lakini baada ya majaribio hayo kuanzia tarehe 12/5/1996 meli i
Mwanza – Port bell, Uganda, na moja Mwanza – Kisumu, Ke
ilikuwa ya mwisho ya Mwanza – Bukoba.
Anasema siku hiyo MV Bukoba ilikwenda Bukoba lakini haikuw
huko, na badala yake MV Victoria ndiyo iliyokuwa imepan
Anasema MV Victoria ina uwezo wa kubeba abiria 1,200 na tan
MV Bukoba ina uwezo wa kubeba abiria 400, tani za mizigo 85.
Anasema kwa hiyo tiketi za abiria na mizigo zilizoandaliwa huko
MV Victoria kwa sababu ndiyo ilitakiwa kwenda. Kutokana
ikashindwa kwenda na ikabidi ibadilishwe na MV Bukoba, hivy
kazi ya MV Victoria.

Itaendelea toleo lijalo…