Kikosi cha Simba dhidi ya Ihefu mchezo wa Ligi Kuu Bara namna hii:-
Ally Salim yupo langoni, Israel Mwenda, Gadiel Michael kapewa kitambaa cha unahodha
Onyango,Kennedy Juma,Ismail Sawadogo, Pape Sakho, Mzamiru Yassin, Jean Baleke, Habib Kyombo, Kibu Dennis
![](https://www.jamhurimedia.co.tz/wp-content/uploads/2023/04/Sakho-Mbeya-640x640-1.jpg)