Msanii wa Bongo Fleva Kutoka THT, Nandy leo ameachia video ya wimbo wake wa Kivuruge na uliosimamiwa na Director Msafiri wa kwetu Studio. Dondosha coment yako chini ya Video hii