Hali za wanafunzi waliopata ajali Mtwara zaendelea kuimarika
JamhuriComments Off on Hali za wanafunzi waliopata ajali Mtwara zaendelea kuimarika
Naibu Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa , Dkt. Grace Magembe ametembelea hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mtwara Ligula kuwajulia hali wanafunzi wa Shule ya Msingi King David ambao wamepata ajali.