Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia, Bungeni jijini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mtambile, Masoud Abdallah Salim, Bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo, Bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Faustine Ndugulie (kulia), na wabunge wa Viti Maalum, Faida Bakari na Anna Lupembe (wapili kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bungeni mjini Dodoma, Mei 10, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post Views: 300