
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sofia Mjema (katikati), akiwafariji wafiwa wakati wa mazishi ya Mke wa Ephraim Kibonde, Sara aliyezikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Es Salaam jana July 13/2018.

Marafiki na watu waliokuwa karibu na Marehemu Sarah Kibonde ambao walisoma pamoja katika shule ya Msingi Muhimbili.

Sehemu ya watu wa karibu na familia ya Ephraim Kibonde wakiwemo wafanyakazi wenzake ambao wameungana kuikakamilisha safari ya mwisho ya Bi. Sarah Kibonde.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. @paulmakonda akipata karanga baada ya kumalizika shughuli za Mazishi ya Salah Kibonde

Mbunge wa Chalinze(CCM), Ridhiwani Kikwete( katika ), Sebbo kushoto na Majizo wa pili kutoka kulia wakitoka mazikoni
Jana July 13, 2018 Familia, ndugu, jamaa na marafiki wa karibu na mtangazaji Ephraim Kibonde wameuaga na kuuzika mwili wa marehemu Sara Kibonde ambaye ni mke wa mtangazaji Kibonde nyumbani kwake, Ubungo Kibangu na kisha baadae kuupumzisha mwili wake katika makaburi ya Kinondoni.