Matukio mbalimbali pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus Wambura akikabidhiwa uenyekiti wa Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi za  Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Zambia IGP Graphel Musamba ambaye amemaliza muda wake wa kuliongoza shirikisho hilo.

Makabidhiano hayo ya uenyekiti wa SARPCCO yamefanyika Lusaka Zambia kupitia mkutano wa 29 wa shirikisho hilo unaofanyika nchini humo.

Please follow and like us:
Pin Share