Fundi wa Kampuni ya Ujenzi ya Bahaji, Wilson Meso akipiga plasta wakati wa ujenzi wa tenki lita 200000 la kukusanyia maji katika eneo la Nala jijini Dodoma leo Septemba 26, 2024. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) unatekeleza Mradi wa uboreshaji wa upatikanaji wa maji katika eneo la Nala ambao utagharimu Tsh bilioni 1.3 umeanza Julai 1, 2024 na utakamilika ndani ya miezi sita na utahusisha ujenzi wa tenki, ulazaji wa mabomba kwa kilomita 7.8 na kusimika pampu mbili na uwekwaji wa mfumo wa kutibu maji. Mradi utanufaisha wakazi zaidi ya 14,731 wa eneo hilo. (Picha na Mpigapicha Wetu)
MAFUNDI wa Kampuni ya Ujenzi ya Bahaj wakiendelea na zoezi la umwagaji zege wakati wa ujenzi wa tenki lita 200000 la kukusanyia maji katika eneo la Nala jijini Dodoma leo Septemba 26, 2024. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) unatekeleza mradi wa uboreshaji wa upatikanaji wa maji katika eneo la Nala ambao utagharimu Tsh bilioni 1.3 umeanza Julai 1, 2024 na utakamilika ndani ya miezi sita na utahusisha ujenzi wa tenki, ulazaji wa mabomba kwa kilomita 7.8 na kusimika pampu mbili na uwekwaji wa mfumo wa kutibu maji. Mradi utanufaisha wakazi zaidi ya 14,731 wa eneo hilo. (Picha na Mpigapicha Wetu)