Skip to main content
JAMHURI MEDIA
Tunaanzia wanapoishia wengine
Home
Kitaifa
Biashara
Siasa
Uchumi
Kimataifa
Makala
Siasa
Uchumi
MCHANGANYIKO
Michezo
Burudani
Kazi/Ajira
Gazeti La Jamhuri
Sitanii
JAMHURI YA WAUNGWANA
Nyundo ya Wiki
Search
March 18, 2023
Habari Mpya
Dodoma kunufaika na ujenzi wa kiwanda cha dola milioni 200
Jamhuri
Comments Off
on Dodoma kunufaika na ujenzi wa kiwanda cha dola milioni 200
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akishuhudia utiaji saini wa makubalino ya awali ya ujenzi wa kiwanda cha saruji kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka katika Wilaya ya Kongwa. Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki kati ya kampuni ya
Alotab & Block BB na Libyan Petrolium ya Libya. Hafla hiyo imefanyika mbele ya wajumbe wa Baraza la Ushauri Mkoa wa Dodoma jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Alotab & Block BB, Abdul Hillary Ally (kushoto) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Libyan Petrolium ya Libya, Dmjed Rajab (kulia) wakibadilishana hati za makubaliano ya ujenzi wa kiwanda cha saruji wilayani Kongwa
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule akizungumza wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubalino ya awali ya ujenzi wa kiwanda cha saruji kitakachokuwa na uwezo wa kuzalisha zaidi ya tani milioni moja kwa mwaka katika Wilaya ya Kongwa. Uwekezaji wa Kiwanda hicho utagharimu dola za kimarekani milioni mia mbili. Kiwanda hicho kitasaidia kuleta ajira na kuinua pato la mkoa na Taifa kwa ujumla
ambapo makubaliano ya walimu ujenzi wa kiwanda cha saruji uiwekezaji wake ni wa thamani ya dola milioni 200.
Post Views:
245
Previous Post
Bashe awaita wawekezaji kuja Tanzania
Next Post
Mabula awataka Ma-DC kuanzisha rejista ya migogoro ya ardhi
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Habari mpya
RC Chalamila: Kuanzia Januari Kariakoo itakuwa masaa 24
Jeshi la polisi Dodoma latoa mwelekeo wake msimu wa Sikukuu
Dk Nchimbi aguswa na kasi ya utekelezaji ilani Tabora
BoT: Malipo yanayofanywa kwa kutumia mashine za POS ni bure
Waziri Chana amuapisha Kamishna Uhifadhi NCAA, ampa maagizo mazito
Desemba 31, 2024 mwisho wa matumizi ya mkaa kwa taasisi za Serikali Dar
Mvua yasababisha vifo vya watu sita, nyumba zaidi ya 25 zaanguka Same
Watu 38 wafariki Congo, wengine wapotea
Trump kuwashughulikia waliobadili jinsia
Watu 94 wamekufa kufuatia kimbunga Chido
Kasesela : Mbunge, diwani atakayeshindwa kutetea nafasi yake ajilaumu mwenyewe
Gridi za Tanzania, Kenya kuimarisha upatikanaji umeme nchini : Gissima Nyamo-Hanga
Balozi Nchimbi akutana na Kardinali Rugambwa Tabora
Msajili Hazina atangaza kifo cha Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Amos Nnko
Waziri Mkuu wa Slovakia akutana na Putin katika ziara ya kushtukiza mjini Moscow