Dk Nchimbi ateta na askofu na Ndimbo Jimbo la Katoliki Mbinga
JamhuriComments Off on Dk Nchimbi ateta na askofu na Ndimbo Jimbo la Katoliki Mbinga
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza jambo na Askofu John Chrisostom Ndimbo wa Jimbo Katoliki la Mbinga, walipokutana Uwanja wa Ndege wa Songea, mkoani Ruvuma, Jumatatu tarehe 7 Aprili 2025.