Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemsifu Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuimari sha umoja na uzalendo.

Dk Mwinyi alisema hayo katika viwanja vya Kizim kazi Dimbani wilayani Kusini Unguja jana wakati akizindua tamasha la Kizimkazi mwaka 2024.

‘’Ninapenda kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wake wa kuasisi tamasha hili kwa madhu muni ya kuimarisha umoja na mshikamano na kudumisha mila na utamaduni ili kucho chea uzalendo na kuhamasi sha shughuli za maendeleo,” alisema.

Kusirikiana na na serikali kufaniki sha mipango ya maendeleo hasa katika kuimarisha sekta za uchumi. linakwenda sambamba na dhamira ya serikali ya kuongeza vivutio vya utalii kupitia matamasha ya utalii wa mikutano kuongeza idadi ya watalii wanaoitembelea Zanzibar.

Dk Mwinyi aliwaponge za wananchi wa visiwa hivyo kwa kulipa umuhimu tamasha hilo lililowapa fursa za maendeleo likiwa ni la tisa mwaka huu lenye kaulimbiu ‘Mitano kwa Mama, Tanzania ya Neema’.

Alisema tamasha la Kizimkazi ni fursa kwa Mkoa wa Kusini Unguja kuongeza vivutio vya utalii wa matamasha. Dk Mwinyi ameagiza uon gozi wa mkoa huo na wilaya kwa kushirikiana na taasisi waliendeleze tamasha hilo na kuandaa mipango ya kuzidi kutangaza matamasha ndani na nje ya nchi na kubuni fursa zitakazoleta manufaa ya ku wepo kwa matukio hayo.

Alieleza, tamasha hilo Aliongeza kuwa, moja ya vivutio vinavyowaleta wawekezaji kisiwani humo ni pamoja na majengo ya kale kama vile msikiti wa kale wa Kizimkazi, amani na utulivu uliopo visiwani humo.

Rais Dk Mwinyi alitoa wito kwa uongozi wa mkoa huo na wilaya zake walitumie tamasha hilo kutangaza na kubainisha fursa za uwekezaji ardhini na baharini.

Aliwashukuru wawekezaji wa sekta binafsi hasa wamiliki wa hoteli za kitalii kwa kush Dk Mwinyi alisema wawekezaji hao wameongeza idadi ya watalii hivyo kuchan gia pato la taifa kwa ulipaji wa kodi na tozo, fursa za ajira kwa vijana na akahimiza ushirikiano katika kuzitu mia fursa zilizopo katika uwekezaji.

Alibainisha kwamba, serikali itaendelea kuwapa ushirikiano wawekezaji na kufungua milango kuwarahi sishia shughuli za uwekezaji nchini hasa katika sekta za utalii, viwanda na biashara.

“Serikali ipo tayari kupokea ushauri wa namna bora ya kuifikia dhamira yetu hiyo” alimalizia.

Please follow and like us:
Pin Share