JamhuriComments Off on Dk Biteko azuru kaburi la hayati Rais Magufuli
Leo Oktoba 7, 2023 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amezuru na kufanya Sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake Chato Mkoani Geita