Dk Biteko awasili nchini India kwa ziara ya kikazi
JamhuriComments Off on Dk Biteko awasili nchini India kwa ziara ya kikazi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Bitekoakikaribishwa nchini India na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mafuta na Gesi India, Sandeep Jain mara baada ya kuwasili katika Uwanja waNdege wa Indira Gandhi katika Jiji la New Delhi kwa ajili ya kushirikimikutano mbalimbali ya kimataifa kuhusu nishati.Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko (kulia)akiwa na Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Anisa Mbega mara baadaya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Indira Gandhi, jijini NewDelhi nchini India kwa ajili ya kuhudhuria mikutano mbalimbali yakimataifa kuhusu nishati.