DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA
JamhuriComments Off on DIWANI WA CHADEMA ALIYEJIUNGA NA CCM AWAPA USHAURI CHADEMA
Diwani wa Kata ya Turwa wilayani Tarime, Zakayo Chacha Wangwe aliandika barua na kueleza sababu ya kujiuzulu nafasi hiyo kuanzia jana Januari 5, 2018 kutoa ushauri kwa wanachama wengine ambao bado wapo upinzani.