Chama,Aziz Ki wafungiwa, Simba,Yanga watozwa faini
JamhuriComments Off on Chama,Aziz Ki wafungiwa, Simba,Yanga watozwa faini
Viungo washambuliaji, Mzambia Clatous Chota Chama wa Simba Stephane Aziz Ki raia wa Burkina Faso wamefungiwa mechi tatu kila mmoja kwa makosa yanayofanana.