Category: Makala
Uamuzi wa Busara (10)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi Mwalimu Julius Nyerere anavyowaondoa wasiwasi watu juu ya jina la Muungano, na kwamba vifungu vya Katiba vinaweza kubadilika ikiwa theluthi mbili ya wajumbe wakiamua kufanya hivyo. Endelea… Kutokana na…
Vita Kuu ya Tatu itatokana na ugomvi wa maji
Utafiti uliofanywa na wataalamu kadhaa umebaini hali ya kushangaza katika Bonde la Mto Nile. Wataalamu hao wanasema ubashiri unaonyesha kuwa kiwango cha mvua katika eneo la bonde hilo kitaongezeka lakini kiasi cha maji yanayotiririka katika mto huo mrefu kuliko yote…
Bandari Tanga yakarabatiwa, yapata sura mpya
Katika mfululizo wa makala za Bandari, leo tunakuletea Bandari ya Tanga ambayo ni miongoni mwa bandari kubwa nchini zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari hii inayopatikana kaskazini mwa Tanzania katika pwani ya Bahari ya Hindi…
Ndugu Rais, wanao hatutakubali watu waendelee kukuchafua
Ndugu Rais, kusema ni kukiri na kukana kwa wakati mmoja. Walisema unapokiri kuwa hili ni dirisha, labda hata bila wewe mwenyewe kujua unakataa kuwa huo si mlango, wala si kitu kingine bali unakiri kuwa ni dirisha. Hivyo ndivyo ilivyo akili…
Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (1)
‘Wasatwiyya’ ni neno la Kiarabu linalotokana na maneno ‘Wastwu’ na ‘Wasatwu’. Neno ‘Wastwu’lina maana ya kAatikati na neno ‘Wasatwu’ lina maana ya ubora. Kiujumla, neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, katikati na ubora. Katika Falsafa na Usufi, ‘Wasatwiyya’ ni…
Ni kweli hawayaoni au hawataki tu kuyaona? (3)
Katika sehemu iliyopita ya makala hii tuliona jinsi Gavana wa mwisho Mwingereza, Sir Richard Turnbull, alivyomsifia Mwalimu Nyerere baada ya kutembezwa sehemu mbalimbali nchini na kujionea maendeleo ambayo nchi ilikuwa imeyapata katika kipindi cha miaka kumi baada ya kupata Uhuru….