Category: Makala
Bandari Tanga yakarabatiwa, yapata sura mpya
Katika mfululizo wa makala za Bandari, leo tunakuletea Bandari ya Tanga ambayo ni miongoni mwa bandari kubwa nchini zilizo chini ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Bandari hii inayopatikana kaskazini mwa Tanzania katika pwani ya Bahari ya Hindi…
Ndugu Rais, wanao hatutakubali watu waendelee kukuchafua
Ndugu Rais, kusema ni kukiri na kukana kwa wakati mmoja. Walisema unapokiri kuwa hili ni dirisha, labda hata bila wewe mwenyewe kujua unakataa kuwa huo si mlango, wala si kitu kingine bali unakiri kuwa ni dirisha. Hivyo ndivyo ilivyo akili…
Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (1)
‘Wasatwiyya’ ni neno la Kiarabu linalotokana na maneno ‘Wastwu’ na ‘Wasatwu’. Neno ‘Wastwu’lina maana ya kAatikati na neno ‘Wasatwu’ lina maana ya ubora. Kiujumla, neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, katikati na ubora. Katika Falsafa na Usufi, ‘Wasatwiyya’ ni…
Ni kweli hawayaoni au hawataki tu kuyaona? (3)
Katika sehemu iliyopita ya makala hii tuliona jinsi Gavana wa mwisho Mwingereza, Sir Richard Turnbull, alivyomsifia Mwalimu Nyerere baada ya kutembezwa sehemu mbalimbali nchini na kujionea maendeleo ambayo nchi ilikuwa imeyapata katika kipindi cha miaka kumi baada ya kupata Uhuru….
Ufanye nini marehemu anapoacha kesi mahakamani?
Nitoe mfano, ndugu yako amefariki dunia lakini ameacha shauri mahakamani ambalo alikuwa akidai kitu fulani kama haki yake. Yaweza kuwa alifungua kesi kudai ardhi, nyumba, mirathi, mgogoro wa kimkataba, fidia au madai mengine yoyote. Kwa hiyo, tutatazama ni jambo gani…
Acha kubeba mzigo wa wivu (1)
“Wivu ni kansa ya akili’’. – B.C. Forbes Acha wivu. Wivu hautajirishi. Wivu hauna tuzo ya aina yoyote. Wivu ni kubeba msalaba mzito usiokuhusu. Mwandishi B.C. Forbes anasema: “Wivu ni kansa ya akili.” Kama unataka kufanikiwa katika maisha, acha wivu. …