JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole

Ndugu Rais, maumivu ya kichwa huanza polepole sana lakini yakiachwa yaendelee hufikia mahali yakawa makubwa sawa na nyundo inayogonga kichwani.  Maumivu yetu ya kichwa yalianza polepole sana mara tu Serikali ya Awamu ya Tano ilipoingia madarakani. Tuliruhusu yaendelee na sasa…

Uislamu unahimiza ‘wasatwiyya’ (2)

Makala hii ilianza wiki iliyopita ambapo ilielezwa kuwa kiujumla kuwa neno ‘Wasatwiyya’ linapata maana ya wastani, usawa, ukati na kati na ubora. Uislamu unahimiza ‘Wasatwiyya’ katika kila jambo kwa kuwa hata dini yenyewe ni dini ya ‘Wasatwiyya’; Dini ya Wastani;…

Msitu wa kitalii katikati ya jiji wawainua wananchi kiuchumi

Jiji la Arusha lililopo kaskazini mwa Tanzania limepata umaarufu mkubwa kutokana na kuwepo kwa vivutio vingi vya utalii na kuufanya mji huo kuitwa mji wa kitalii. Vivutio hivyo ni pamoja na uwepo wa Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro, Hifadhi ya…

Acha kubeba mzigo wa wivu (2)

Ishi na watu vizuri. Ishi na majirani zako vizuri. Kumbuka: Unaishi na watu. Kuzaliwa kwako kumefanywa na watu. Jina lako unalotumia umepewa na watu. Umepata elimu kutoka kwa watu. Kipato chako unachopata kinatoka kwa watu. Heshima uliyonayo inatoka kwa watu….

HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (14)

Kama siyo sisi ni nani? Sisi ni daraja kati ya kizazi kilichopita na kizazi kijacho. Tunakiachia nini kizazi kijacho? Tunaacha alama gani? Namna gani tunakabidhi kijiti? Tutakumbukwa kwa mambo gani? Methali ya Kiyahudi inasema yote: “Kama siyo sasa ni lini?…

Sheria inasema nini kuhusu mke kumtunza mume wake?

Ndoa inapokuwa imefungwa kisheria, kuna haki za msingi ambazo huandamana na mkataba huo. Moja ya haki maarufu ni ile ya mume kumtunza mkewe. Tutaangalia kinyume cha haki hii kuona kama mke naye ana wajibu wa kumtunza mumewe. Lakini kabla ya…