Category: Makala
KIJANA WA MAARIFA (14)
Amini kile unachotaka kukifanya na ukifanye Imani ni msingi wa mafanikio ya kitu chochote. Muda wowote unapotaka kuanza kufanya kitu iruhusu imani itembee mbele yako, kwani kuamini kwamba unaweza kufanya jambo fulani ni kama garimoshi lililoingia kwenye reli yake, lazima…
Uamuzi wa Busara (13)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi wananchi wanavyojitetea kwa kupigana lakini wanakwamishwa na ukosefu wa silaha za kisasa na ukosefu wa umoja miongoni mwao wenyewe. Hali hiyo inaelezwa kutokea baada ya mkoloni kuvamia nchi mpya…
Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (2)
Kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Sura ile ya 2, Kifungu Na. 40 (2) kinasema wazi: “Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais”. Lakini tunaweza kujiuliza iwapo utaratibu huu unainufaisha nchi kama Tanzania na katika vyama…
Makonda fanya haya, utapona
Moja ya mijadala mikubwa iliyotoka siku chache zilizopita hapa nchini ni hatua ya Marekani kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo, kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuingia nchini humo kwa tuhuma za…
Kifo cha Tim chazua simanzi dunia nzima
Ni tembo aliyekuwa na meno marefu sana Aliishi katika Hifadhi ya Amboseli, Kenya Mabaki yake kukaushwa, kufanywa kumbukumbu India yaweka rekodi ya tembo mzee zaidi duniani Alipewa jina la Tim na aliheshimika katika jamii yake. Huyu si binadamu bali ni…
TPA yafunga mtambo wa kisasa wa kufundishia Chuo cha Bandari
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imekamilisha kazi ya kufunga mitambo miwili ya kisasa ya kufundishia kwa vitendo (Full Mission Crane Training Simulator) katika Chuo chake cha Bandari kilichopo Wilaya ya Temeke, katika Mtaa wa Mahunda. Mitambo hiyo ambayo imeanza…