JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Wawili wapandikizwa uume Benjamini Mkapa

Wanaume wawili waliokuwa na matatizo ya  nguvu za kiume kutokana na matatizo mbali mbali ya kiafya, wamefanyiwa upasuaji na kupandikizwa uume katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkoji…

Soko la mabilioni kuchochea uchumi Tarime

Na Immaculate Makilika- MAELEZO Mkurugenzi Mtendaji wa Mji Tarime, Gimbana Ntavyo anasema kuwa ujenzi wa soko la kisasa unaoendelea mkoani Mara katika halmashauri yake utasaidia kuchochea biashara katika Mji wa Tarime pamoja na kutoa fursa ya kufanya biashara na nchi…

Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi walikoweka kambi ya siku tano. Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati…

Wizara yatoa mwenendo wa ugonjwa wa Marburg Kagera

You Might Also Like POLISI MAKAO MAKUU WAFANYA MAZOEZI YA KUIMARISHA AFYA KWA ASKARI

Serikali:Dawa za Tanzania ni bora na salama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mfamasia Mkuu wa Serikali Daud Msasi amewahakikishia Watanzania kwamba dawa zinazozalishwa nchini zimethibitishwa na zina ubora unaostahili. Msasi ametoa kauli hiyo leo Aprili 6,2023 kwenye semina kwa wahariri wa habari nchini iliyoandaliwa na Bohari ya…