JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Elimu ya uraia ni muhimu kabla ya uchaguzi (2)

Kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Sura ile ya 2, Kifungu Na. 40 (2) kinasema wazi: “Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais”. Lakini tunaweza kujiuliza iwapo utaratibu huu unainufaisha nchi kama Tanzania na katika vyama…

Makonda fanya haya, utapona

Moja ya mijadala mikubwa iliyotoka siku chache zilizopita hapa nchini ni hatua ya Marekani kupitia kwa Waziri wake wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo, kumzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kuingia nchini humo kwa tuhuma za…

Kifo cha Tim chazua simanzi dunia nzima

Ni tembo aliyekuwa na meno marefu sana Aliishi katika Hifadhi ya Amboseli, Kenya Mabaki yake kukaushwa, kufanywa kumbukumbu India yaweka rekodi ya tembo mzee zaidi duniani Alipewa jina la Tim na aliheshimika katika jamii yake. Huyu si binadamu bali ni…

TPA yafunga mtambo wa kisasa wa kufundishia Chuo cha Bandari

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania imekamilisha kazi ya kufunga mitambo miwili ya kisasa ya kufundishia kwa vitendo (Full Mission Crane Training Simulator) katika Chuo chake cha Bandari kilichopo Wilaya ya Temeke, katika Mtaa wa Mahunda. Mitambo hiyo ambayo imeanza…

Ndugu Rais, upanga una makali kuwili

Ndugu Rais, wako waliosema dunia hadaa, ulimwengu shujaa. Kwa muoga huenda kicheko, na kwa shujaa huenda kilio. Waliosikia walibadilika na kuwa wema na hivyo wakaponyoka adhabu yake, lakini vimbulu walingojea mpaka wakaangamia kwa mateso makali! Unajitengenezea aina ya kifo mwenyewe…

Unyanyapaa kwa WAVIU ni ubaguzi, dhuluma, dhambi

Wiki iliyopita Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, kwa kushirikiana na Baraza la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), aliwaalika viongozi wa dini kushiriki katika kikao kazi baina yao na Bunge/NACOPHA katika…