Category: Makala
Arobaini ni mwarubaini (1)
Wakatoliki pote duniani wameanza kipindi cha kufunga siku arobaini. Kipindi hiki kinaitwa Kwaresima na kinafunguliwa rasmi kwa kupakwa majivu kwenye paji la uso. Ni kipindi cha kufanya toba, kufunga, kusali na kutenda matendo ya huruma. Siku arobaini zinaunganishwa na siku…
Waziri Mkuu ruhusuni biashara ya vipepeo Muheza
Miaka mitatu iliyopita katika safu hii niliandika jambo linaloweza kuonekana dogo lakini lenye athari kubwa kwa mazingira na wanadamu. Linahusu wananchi katika Hifadhi ya Asili ya Amani kuzuiwa kusafirisha vipepeo nje ya nchi. Hii si haki. Safu hii ya Mashariki…
Nyumbani kuna kasoro gani?
“Kauli yako utoayo mitaani, inanifikia nduguyo Ingawa unafikiri sikufahamu, unitetayo sikia Nakuonya uongo mbona haithamini elewa Unajitangaza u-mtenda mema, mengi kujisifia ya uongo, Watoto wamekukimbia nyumbani, umebaki na wajukuu pia watasambaa. Iliyobaki nitamuliza shemeji, kuna kasoro gani hapo nyumbani. -Aaah! …
Yah: Misukosuko ya kisiasa nchini ni kama 1953
Kuna wakati ambao ninawaza mpaka kichwa kinataka kupasuka, si kwa sababu yanayoendelea siyajui, la hasha! Bali ni kwa sababu yanakwenda kasi mno na kuniacha nikiwa bado njia panda. Maisha ni safari ndefu na ukibarikiwa umri mkubwa unafanikiwa kuyaona mengi na…
KIJANA WA MAARIFA (14)
Amini kile unachotaka kukifanya na ukifanye Imani ni msingi wa mafanikio ya kitu chochote. Muda wowote unapotaka kuanza kufanya kitu iruhusu imani itembee mbele yako, kwani kuamini kwamba unaweza kufanya jambo fulani ni kama garimoshi lililoingia kwenye reli yake, lazima…
Uamuzi wa Busara (13)
Wiki iliyopita katika toleo hili la Uamuzi wa Busara tulisoma jinsi wananchi wanavyojitetea kwa kupigana lakini wanakwamishwa na ukosefu wa silaha za kisasa na ukosefu wa umoja miongoni mwao wenyewe. Hali hiyo inaelezwa kutokea baada ya mkoloni kuvamia nchi mpya…