Category: Makala
Askofu Gwajima si wa kuachwa
Amani iliyopo Tanzania ni tunu ya taifa. Haikuibuka tu kama uyoga pori. Ni matokeo ya kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na waasisi wa taifa hili. Wapo wanaodhani kuwa Watanzania ni tofauti na wanadamu wengi katika Afrika. Ni kweli tuko…
Tume Huru ya Uchaguzi nchini (1)
“Uchaguzi Mkuu ujao utakuwa huru na wa haki.” Ni maneno thabiti na kuntu yaliyotamkwa na Rais Dk. John Magufuli akiutangazia ulimwengu na wananchi. Kauli hii inatia mihemko na imani katika mioyo na vichwa vya Watanzania, pia wale wote wapenda haki…
Yah: Ipo siku ambayo tutaiona dunia kuwa jehanamu
Si kwamba ninapingana na vitabu vitakatifu, la hasha! Lakini nina uhakika mimi na wewe wote hatuna ushahidi wa kile ambacho kinatendeka huko mbinguni ambako hata mimi nina ahadi nako kwa kuishi maisha yenye raha sana iwapo nitatekeleza zile amri kumi…
Mafanikio katika akili yangu (21)
Katika toleo liliopita tuliishia katika aya isemayo: “Lakini mume wangu nina safari ya kwenda Afrika,’’ alisema mama yake Meninda. “Afrika unakwenda kufanya nini mke wangu?’’ aliuliza profesa kutaka kujua. “Ni safari ya kikazi nchini Tanzania,” alisema. Sasa endelea… Profesa akaona…
Usaliti kwa upinzani ni usaliti kwa taifa
Mara nyingi nimesema kwamba kuna watu wanaofanya siasa wakijiita wanasiasa wakati hawaelewi chochote kwenye siasa! Hawa wanaonyesha kuwa hawapo mahali sahihi. Inawezekanaje mtu ajiite mwanasiasa wakati haelewi siasa ni kitu gani? Wanachofanya hao ni kutafuta masilahi kwa ajili ya kuendesha…
Ongezeko la watu tishio kwa wanyamapori
Ongezeko la idadi ya watu limetajwa kama moja ya mambo yanayosababisha kuongezeka kwa migogoro inayotokana na muingiliano wa wanyamapori na binadamu. Hayo yamebainishwa katika semina ya mafunzo ya waandishi wa habari iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Mazingira…