JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Mafanikio katika akili yangu (22)

Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Si nilikwambia mama, Noel watu mpaka sasa wanamkumbuka, nimetoka kuongea na mkurugenzi wa redio anamuulizia.’’ Mama yake akasimama na kuanza kumsikiliza Zawadi. “Heee! Si alimfukuza?’’ alishangaa Mama Noel. Tumaini lilikuwa limemjia mama yake…

Anza wewe kuwa jinsi unavyotaka mtoto wako awe

Hebu leo tubadilishe upepo kidogo kwa kutafuta majibu ya kwa nini watu waovu wanaongezeka licha ya wingi wa makanisa, misikiti hata magareza?  Kwa nini matukio ya uovu wa binadamu yanazidi licha ya juhudi kubwa zifanywazo na ulimwengu kudhibiti matukio hayo?…

Tukio hili tunalitafsirije? (2)

Mifano hai ya waliopata ‘rustication’ ni kama hivi (sitawataja majina humu), mmoja alikuwa ni chifu kutoka Usukumani kule Shinyanga. Chifu huyu alitimuliwa Shinyanga akapelekwa kuishi Tunduru, mahali ambako alikuwa hajawahi kufika wakati ule wa ukoloni. Mwingine alikuwa wakili, Mhindi wa…

Umakini wa JAMHURI unapovuka mipaka ya nchi

Si jambo la kupendeza sana kwa mtu kujisifia au kuonekana unafagilia upande uliopo wewe, lakini pia sidhani kama ni kosa la jinai ukiamua kuonyesha yaliyo mema kwa upande wako.  Ndiyo maana hata mimi ninaamua kuonyesha umakini wa Gazeti la JAMHURI…

Mwandishi akumbuka Ebola ilivyotisha DRC

Wiki iliyopita Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walitangaza kuruhusiwa kutoka hospitalini mtu wa mwisho aliyekuwa ameambukizwa Ebola, ugonjwa hatari ambao umeua maelfu ya watu barani Afrika.  Hiyo ni moja ya dalili…

Bandari: Taratibu za kusafirisha mzigo ng‘ambo

Siku za karibuni yamekuwapo malalamiko yasiyo rasmi juu ya wateja kucheleweshewa mizigo inayosafirishwa nje ya nchi. Kutokana na hali hiyo, Bandari imebaini kwamba, kwa kuwa Tanzania inaingia kwenye uchumi wa viwanda kwa kasi, kuna uwezekano kuwa baadhi ya watu wanazalisha…