Category: Makala
AROBAINI NI MWARUBAINI (3)
Je, unashangaa? Ishi maisha ya kushangaa na kuchukua hatua. Dawa ya makosa yetu ni kufanya toba, kufunga, ukarimu na kusali. Matendo hayo yote yanaanza na kushangaa. Ni matendo ambayo Wakatoliki wanapaswa kufanya kipindi cha siku arobaini. Je, unashangaa mahali ulipo?…
Kuzuia gongo ni kuenzi ukoloni
Wananchi makabwela wapika gongo wamezoea kuwakimbia polisi na viongozi wa dola. Si jambo la kawaida kwa wananchi wanaojihusisha na shughuli hiyo kuwa kwenye hali ya amani pindi wanapozingirwa na hao wakubwa ambao mara zote huwa pamoja na mgambo, polisi na…
Tume Huru ya Uchaguzi nchini (2)
Narudia kutamka kuwa tangu Watanzania tuwe huru mwaka 1961 (Tanganyika) na mwaka 1964 (Zanzibar) tumefanya uchaguzi kitaifa kila baada ya miaka mitano na kuwapata viongozi bora katika ngazi ya urais, ubunge na udiwani. Chombo kilichofanya uratibu, usimamizi na uendeshaji wa uchaguzi…
Yah: Usiku wa deni haukawii kucha, corona jamani!
Nimewahi kudaiwa sana katika maisha yangu, na mara nyingi tamati ya usiku wa deni huwa kama saa inajikimbiza yenyewe. Hapo ndipo ninapokumbuka madeni mengi ambayo yamewahi kuniumiza sana kichwa, hasa yale ambayo nilikopa kwa ajili ya matumizi ambayo si ya…
Mafanikio katika akili yangu (22)
Katika toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: “Si nilikwambia mama, Noel watu mpaka sasa wanamkumbuka, nimetoka kuongea na mkurugenzi wa redio anamuulizia.’’ Mama yake akasimama na kuanza kumsikiliza Zawadi. “Heee! Si alimfukuza?’’ alishangaa Mama Noel. Tumaini lilikuwa limemjia mama yake…
Anza wewe kuwa jinsi unavyotaka mtoto wako awe
Hebu leo tubadilishe upepo kidogo kwa kutafuta majibu ya kwa nini watu waovu wanaongezeka licha ya wingi wa makanisa, misikiti hata magareza? Kwa nini matukio ya uovu wa binadamu yanazidi licha ya juhudi kubwa zifanywazo na ulimwengu kudhibiti matukio hayo?…