Category: Makala
Waganda walizwa mabilioni ya fedha mtandaoni
Hakuna nchi ambayo raia wake wameathirika kwa kutapeliwa fedha zao kupitia teknolojia za kwenye mitandao kama Uganda. Wengi wamekwisha kufikia hatua ya kujiua baada ya kubaini kuwa wametapeliwa mabilioni ya fedha walizowekeza kupitia mitandao ya fedha za kidijiti (cryptocurrency). Mmoja…
Hatua za kutoa mzigo bandarini
Kutokana na uchumi wa viwanda unaoendelea kukua nchini, idadi ya wafanyabiashara wanaoagiza malighafi na mizigo kutoka nje kuja Tanzania inazidi kuongezeka. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeliona hili na inaendelea kuboresha huduma zake kuhakikisha wafanyabiashara wanaagiza malighafi na…
Ndugu Rais, milioni 350 mbona chache?
Ndugu Rais, watuhumiwa wa makosa ya uchochezi, tukio lililotokea wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni, ambao pia ulisababisha kuuawa kwa binti yetu, Akwilina Akwilini, msiba wake ambao hautakuja kusahaulika katika nchi hii, wamepatikana na hatia na wamehukumiwa. Tuhuma…
Kwa nini Waislamu nchini wawe chini ya Bakwata? (2)
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii nilieleza kuwa Bakwata ni chombo cha kudumu kilichoundwa mwaka 1968 kuratibu, kusimamia na kuongoza shughuli zote za Waislamu nchini Tanzania (Tanzania Bara) kwa lengo la kutekeleza wajibu wa Waislamu wa kuendeleza na kuimarisha…
Ufanye nini unaposababishiwa hasara?
Kama utasababishiwa hasara yoyote, basi mtu anayekusababishia hasara hiyo ana wajibu kisheria kukufidia, isipokuwa kama umeamua kusamehe, au kama hasara hiyo ilitokana na mchakato ambao haukuwa halali kisheria. Katika kufafanua suala hili, makala ya leo itajikita katika Sheria ya Mikataba…
Kama umemsahau Mungu, umejisahau mwenyewe (3)
Maisha ya Mkristo ni maisha ya mapambano kwa saa 24. Ukristo si lelemama. Ukristo ni vita. Ukristo una gharama. Hakuna Ukristo laini. Hakuna Ukristo wa kununua wala kuuza. Kumbuka kwamba utakatifu wako hauko kwenye vyeti vyako vya ubatizo. Utakatifu wako…