JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Waziri wa Afya kuna mahali unachezewa

Mheshimiwa Waziri, naomba nikushike sikio, labda kuna kitu kinaweza kukukumbusha juu ya ugonjwa huu wa mafua makali ambayo sasa yametuletea tafrani kubwa nchini na kusababisha mdororo kwa baadhi ya sekta. Elimu ni mojawapo ya sekta ambazo zimeathirika sana, si rahisi…

Mafanikio katika akili yangu (23)

Toleo lililopita tuliishia katika aya isemayo: Akaichukua na kuipokea kisha akaiweka sikioni: “Haloo!’’ Sauti akaifahamu kuwa ni ya profesa mwenzake. “Mbona sikuoni, hauko kwenye baraza mwaka huu?’’ Profesa baada ya kusikia hivyo akashituka: “Kwani kuna baraza la mitihani gani hapo?’’…

Aliyeajiriwa anamtaka kijana akajiajiri

Tatizo la ajira ambalo linaendelea kusumbua nchi nyingi duniani, Tanzania ikiwemo, limegeuka kuwa ajenda kubwa katika mijadala ya aina mbalimbali. Mingi ya mijadala hii inalenga kutoa maoni juu na namna nzuri ya kukabiliana na tatizo hilo. Ajenda kubwa hapa ni…

NYUMA YA PAZIA

ALEXANDER GRAHAM BELL Alivumbua simu lakini alikuwa mnyanyasaji mkubwa Karibu katika safu hii mpya inayolenga kuangalia upande wa pili wa maisha ya watu maarufu ambao wamefanya mambo makubwa duniani. Kwa kawaida, watu hao hujulikana zaidi kwa mambo hayo makubwa waliyoyafanya….

Tusipende amani kwa kuisahau haki

Daima amani ni tunda la haki. Penye haki amani hutamalaki. Mwenye haki, kwa maana ya kutenda na kutendewa haki, mara zote huwa mpole na mtulivu. Kwa sababu sioni ni kitu gani kitamfanya akose utulivu kama haki yake haijaguswa. Kwa wakati…

Ubabe haujengi, hauna tija (1)

Huu ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu. Tutapata fursa nyingine ya kuwachagua viongozi wa kuendesha gurudumu letu la maendeleo kwa miaka mitano ijayo.  Hapa nchini tunasema demokrasia ya kupokezana vijiti kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu. Mwaka huu tutachagua tena…