Category: Makala
Ubabe haujengi, hauna tija (2)
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii nilieleza aina mbalimbali za ubabe na kuonyesha madhara yake kwa jamii. Nilionyesha jinsi ambavyo ubabe wa wanyama unavyokuwa na jinsi ambavyo baadhi ya viongozi waliiga ubabe huo wa wanyama na tukaona mwisho wao…
Corona kusogeza mbele Uchaguzi Mkuu 2020?
Baada ya waandishi wa habari kuniuliza nini kitatokea endapo janga la corona litaenda hadi wakati wa Uchaguzi Mkuu, nimeona ni vema kuandika maoni yangu kupitia uchambuzi wa kisheria. Ni kweli kwamba ugonjwa huu ukizidi kuwa mkubwa nchini, mazingira ya kwenda…
Corona yayumbisha uchumi wa dunia
Wakati dunia ikihangaika kuokoa maisha ya watu kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, kwa upande wa pili uchumi umeendelea kutikiswa na ugonjwa huo. Umoja wa OECD tayari umeshaonya kuwa virusi hivyo vinaleta hatari kubwa katika uchumi wa dunia tangu…
Majanga makubwa yatakavyoyumbisha dunia 2020
Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Januari 2010 na kuusambaratisha mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince, lilikuwa ni tukio lililoleta mabadiliko katika mikakati ya kushughulikia majanga yanayotokea maeneo ya mijini. Mabadiliko hayo yalikuja kwa sababu mikakati ya kukabiliana na majanga maeneo ya…
Miradi kuineemesha Mtwara
Itakuwa si haki kukaa bila kuona na kuthamini mchango wa serikali katika kuleta maendeleo ya nchi. Kwa namna moja ama nyingine, mambo mengi ya kimaendeleo yamekuwa yakifanyika siku hadi siku hapa nchini kwetu, ambayo ukiyatazama yameendelea kutupa sifa sisi kama…
Ndugu Rais magonjwa ni mengi, kwanini tukazanie moja?
Ndugu Rais, Baba Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, Emmaus Mwamakula, malango yake yabarikiwe. Huyu ni kiongozi mkuu wa dini katika nchi yetu ambaye bila kujali kama atahusishwa na makundi fulani fulani, amesimama hadharani na kuitetea haki….